Nenda kwa yaliyomo

Bangili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bangili la plastiki.
Bangili ya thamani.

Bangili ni pambo la mviringo linalovaliwa mkononi.

Linaweza kuwa la kawaida au la thamani sana.

Kuna ushahidi kwamba lilitumika tangu zama za shaba (kabla ya mwaka 5000 KK).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bangili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.