Nenda kwa yaliyomo

Barikisu Tettey-Quao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Infobox Person |jina = Barikisu Tetty-Quano |picha = |maelezo_ya_picha = |tarehe_ya_kuzaliwa = 28 Augost 1980 |mahala_pa_kuzaliwa = Ghana |tarehe_ya_kufariki = |mahala_alipofia = |majina_mengine = |anafahamika kwa = |kazi_yake = mchezaji wa mpira wa miguu |nchi = Ghana }} Barikisu Tettey-Quao (alizaliwa 28 Agosti 1980) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ghana ambaye alicheza kama beki wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya timu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake la 1999. Katika ngazi ya klabu anachezeatimu ya La Ladies ya Ghana.[1]

  1. "FIFA Women's World Cup USA 1999 - Ghana". FIFA Women's World Cup United States 1999. FIFA. 1999. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barikisu Tettey-Quao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.