Nenda kwa yaliyomo

Bawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mabawa ya bata-maji domo-fundo.

Bawa (pia: ubawa, ubele) ni kiungo cha mwili wa wanyama mbalimbali kinochawawezesha kuruka hewani.

Kutokana na hilo, ni pia jina la sehemu ya ndege inayoiwezesha kuruka na kubaki angani.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bawa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.