Nenda kwa yaliyomo

Bidhaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bidhaa mbalimbali zikiwa ndani ya ghala
bidhaa
Kikapu chenye bidhaa mbalimbali za afya.

Bidhaa ni kitu chochote kinachotoka kwenye soko kinachoweza kuridhisha watu.

Kwenye utengenezaji kwa kawaida hununuliwa kama malighafi (kama vile vyuma) na kuuzwa kama bidhaa.

Bidhaa hatarishi ni zile zinazoweza kusababisha madhara kwa jamii.

Mazao ya kilimo na huduma ni aina nyingine ya bidhaa kuu.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bidhaa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.