Nenda kwa yaliyomo

Blackface Naija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmedu Augustine Obiabo anayejulikana kwa jina lake la kisanii Blackface Naija au Blackface, ni mwimbaji wa dancehall wa Nigeria, mwimbaji wa reggae, na mtunzi wa nyimbo.


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blackface Naija kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.