Nenda kwa yaliyomo

Buigiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Buigiri ni kata ya Wilaya ya Chamwino katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41402[1]. Tangu 2007 Buigiri imekuwa sehemu ya wilaya mpya ya Chamwino ikateuliwa kuwa makao makuu ya wilaya hii.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,853 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,821 [3] waishio humo.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. "Sensa ya 2012, Dodoma - Chamwino DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Kata za Wilaya ya Chamwino - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Buigiri | Chamwino mjini | Chiboli | Chilonwa | Chinugulu | Dabalo | Fufu | Handali | Haneti | Huzi | Idifu | Igandu | Ikombolinga | Ikowa | Iringa Mvumi | Itiso | Loje | Majeleko | Makang'wa | Manchali | Manda | Manzase | Membe | Mlowa Barabarani | Mlowa Bwawani | Mpwayungu | Msamalo | Msanga | Muungano | Mvumi Makulu | Mvumi Misheni | Nghahelezi | Nghambaku | Nhinhi | Segala | Zajilwa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buigiri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.