Charles Warren (mwandishi)
Mandhari
Charles Warren (1868 – 16 Agosti 1954) alikuwa mwanasheria na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1923, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Supreme Court in United States History.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles Warren (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |