Dani Carvajal
Mandhari
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Dani Carvajal
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Hispania |
Nchi anayoitumikia | Hispania |
Jina katika lugha mama | Daniel Carvajal |
Jina la kuzaliwa | Daniel Carvajal Ramos |
Jina halisi | Dani |
Jina la familia | Carvajal |
Second family name in Spanish name | Ramos |
Tarehe ya kuzaliwa | 11 Januari 1992 |
Mahali alipozaliwa | Leganés |
Relative | Joselu, Julio Maldonado |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | fullback |
Muda wa kazi | 19 Septemba 2010 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 2 |
Ameshiriki | Kombe la Dunia la FIFA 2018 |
Ligi | Bundesliga |
Daniel "Dani" Carvajal Ramos (alizaliwa tarehe 11 Januari 1992) ni mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania kama beki wa kulia.
Alipokuzwa na Real Madrid baadaye alipelekwa Bayer Leverkusen na kurudi Real Madrid. Kwenyengazi ya timu ya taifa ya vijana wadogo chini ya miaka 19 alishinda 2011 European Championship.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dani Carvajal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |