Nenda kwa yaliyomo

Denis Ablyazin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Denis Ablyazin katika mashindano ya Uropa 2015

Denis Mikhailovich Ablyazin (Kirusi: Денис Михайлович Аблязин, alizaliwa 3 Agosti 1992) ni mtaalum wa mchezo wa viungo vya mwili wa nchini Urusi. Yeye ni mshindi mara saba wa medali katika michezo ya Olimpiki. Katika michezo ya Olimpiki ya 2012 huko London alishinda medali ya fedha na shaba.[1][2] Katika michezo ya Olimpiki ya Rio de Janeiro, alishinda medali ya shaba akiwa na timu ya wanaume wakiiwakilisha Urusi.[3]

Pia ni mshindi mara tatu wa Uropa (2013, 2014 na 2019).[4]

  1. "ABLIAZIN Denis - FIG Athlete Profile". www.gymnastics.sport. Iliwekwa mnamo 2021-11-20.
  2. "Denis ABLYAZIN". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-20.
  3. "Denis Ablyazin: 'So many emotions, so many nerves'". International Gymnast Magazine Online (kwa American English). 2021-09-17. Iliwekwa mnamo 2021-11-20.
  4. "Denis ABLYAZIN". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-20.