Nenda kwa yaliyomo

Franca Brown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Franca Obianuju Brown (alizaliwa mnamo tarehe 17 Mei 1967) ni mwigizaji na mwandaaji wa filamu nchini Nigeria, ambapo mnamo mwaka 2016 alipokea tuzo iitwayo City People Movie Special Recognition Award katika City People Entertainment Awards.[1][2]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Brown alianza elimu ya msingi katika shule ya St. Mary’s Primary School kijiji cha Onitsha, mji wa Anambra lakini alihamia mji wa Abia ambapo alimaliza elimu yake ya awali katika shule ya msingi ya St. Maria’s Primary School iliyopo Aba, Abia|Aba, na alipata cheti chake cha kuhitimu shule ya msingi. Brown alianza elimu yake ya sekondari katika mji wa Niger iliyopo kaskazini mwa Nigeria katika shule ya sekondari Federal Government Girls College iliyopo New Bussa, mji wa Niger ambapo alipata cheti chake cha kuhitimu elimu ya sekondari.

Brown alituma maombi ya kijiunga katika chuo kikuu cha Ahmadu Bello University iliyopo Zaria, mji waKaduna kwaajili ya kupata shahada yake, na maombi yalikubaliwa na hatimaye akahitimu shahada yake ya kwanza ya sheria. Brown aliendelea na shahada yake ya pili katika chuo kikuu cha Jos iliyopo mji wa Plateau ambapo alihitimu shahada yake ya pili ya Sanaa na uzamivu ya sheria. [2][3]

Brown's alianza kazi yake pale alipojulikana kutokana na umahiri wa kazi zake zinazorushwa katika televisheni iitwayo “Behind The Clouds”[3] ingawa Brown alitengeneza kameraulandanishi mbili wa kameramuonekano wa kamera kabla ya kuigiza katika filamu ya “Behind The Clouds” katika jukwaa alicheza filamu iitwayo “Swam Karagbe” ambayo iliandikwa Dr. Iyorchia, n na wanaigeria watatu wajulikanao kama Matt Dadzie, Peter Igho & Ene Oloja ambapo watazamaji wengi walikua wanatafuta vipaji vipya kwaa jili ya kushiriki katika filamu zinazorushwa katika televisheni na baada ya kuigiza jukwaani , Brown alichaguliwa katika usahili. [2] alitatafutwa na wenzake wenye vipaji na aliombwa ashiriki katika ukaguzi, ambapo alishiriki nakupewa jukumu na kuigiza kama Mama Nosa[4] katika filamu ya “Behind The Clouds”.

Brown pia ni muaandaji wa filamu na muongozaji wa filamu na aliandaa na kuongoza filamu iitwayo “Women At Large”.

Brown, katika mwaka 2016, alipewa tuzo ya City People Movie Special Recognition Award katika City People Entertainment Awards.[5][1][6].

  1. 1.0 1.1 People, City (2019-10-22). "Gists From The [[2019]] City People Movie Awards – Read About The Movie Stars That Rocked". City People Magazine (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-12. {{cite web}}: Check date values in: |access-date= na |date= (help); URL–wikilink conflict (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 Magazine, Yes International! (2017-03-22). "WHY I'M STILL SINGLE – Veteran Actress, Franca Brown". Yes International! Magazine (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-12. Iliwekwa mnamo 2019-12-12. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. 3.0 3.1 Alao, Biodun (2019-02-12). "How I Have Maintained My Sexy Shape At Over 50 - Actress Franca Brown". City People Magazine (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-12.
  4. "Why I have not married — Franca Brown". Vanguard News (kwa American English). 2014-06-05. Iliwekwa mnamo 2019-12-12.
  5. People, City (2019-10-22). "Gists From The 2019 City People Movie Awards – Read About The Movie Stars That Rocked". City People Magazine (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-12.
  6. Ogunseye, Zainab (2016-07-27). "Nigerian, Ghanaian celebrities storm awards event in eye popping dresses (photos)". www.legit.ng (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-12.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franca Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.