Juan de Zaldívar (askari wa Uhispania)
Mandhari
Juan de Zaldívar (takriban 1570 – 1598) alikuwa mwanajeshi na mpelelezi wa Kihispania. Alikuwa mkoloni wa mapema wa New Mexico. Alikufa kwa mikono ya Waindio.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Chipman, Donald E. (Juni 15, 2010). "ZALDIVAR, JUAN DE". Handbook of Texas Online. Iliwekwa mnamo 29 Agosti 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juan de Zaldívar (askari wa Uhispania) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |