Kanisa la Kiorthodoksi la Siria
Mandhari
Kanisa la Kiorthodoksi la Siria ni mojawapo kati ya yale ya Waorthodoksi wa Mashariki.
Asili yake ni nchi za Siria, Uturuki na Iraq za leo, lakini kwa sasa waamini wengi zaidi wanaishi India au wametokea nchi hiyo. Wengi kati ya wale wa eneo asili walilazimika kuhama katika karne ya 20, wakaeneza imani na mapokeo yao duniani. Kwa jumla wako milioni moja unusu.
Tangu mwaka 1959 makao makuu yako Damasko.
External links
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official website
- Website of Syriac Orthodox Church In India Jacobite Syrian Church
- Syriac Orthodox Church in Canada Archived 15 Februari 2023 at the Wayback Machine.
- Mor Aphrem Monastery
- Malankara Archdiocese of the Syrian Orthodox Church in North America
- Syriac Orthodox Church in Ireland – Dublin The First Parish Church of Syrian Orthodox Church in Ireland
- Syriac Orthodox Church in Ireland – Waterford Archived 13 Mei 2021 at the Wayback Machine.
- Margonitho: Syriac Orthodox Resources
- Article on Syrian Orthodox Church by Ronald Roberson on CNEWA website
- Malankara Syriac Orthodox Church / Jacobite Syrian Church, AD 52
- Jacobite Online: Online Community of Jacobite Syrian Church
- Malankara Syriac Christian Resources Archived 8 Septemba 2016 at the Wayback Machine.
- News Site Of Jacobite Syrian Orthodox Church Archived 25 Julai 2013 at the Wayback Machine.
- Malankara Vision: TV Of Jacobite Syrian Church Archived 19 Mei 2022 at the Wayback Machine.
- Malankarese Giacobita siriano Chiesa Archived 20 Februari 2009 at the Wayback Machine.
- Radio Malankara: Radio of Jacobite Syrian Church
Mahusiano na Kanisa Katoliki
[hariri | hariri chanzo]- Pope Benedict XIV, Allatae Sunt (On the observance of Oriental Rites), Encyclical, 1755 Archived 5 Oktoba 2018 at the Wayback Machine.
- Addresses of Pope Paul VI and His Holiness Mar Ignatius Jacob III, 1971
- Common Declaration of Pope John Paul II and His Holiness Mar Ignatius Zakka I Iwas, 1984
- Address of John Paul II on Occasion of the Visit to the Catholicos of the Malankarese Syrian Orthodox Church, 1986
- Vyombo vya habari
- Shroro: The Syriac Christian Digest Archived 4 Februari 2005 at the Wayback Machine.
- Syriac Music Online
- Syrian Liturgy Archived 22 Mei 2023 at the Wayback Machine. description and photos
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Kiorthodoksi la Siria kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |