Nenda kwa yaliyomo

Katerina Labouré

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Katerina wakati wa kupata njozi (1830).

Katerina Labouré (Fain-les-Moutiers, Côte-d'Or, Ufaransa, 2 Mei 1806 - Enghien-les-Bains, Oise, 31 Desemba 1876) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki katika shirika la Wavinsenti.

Alipata umaarufu kwa njozi alizosema alijaliwa na Bikira Maria kwamba alimkabidhi medali ya miujiza ili aieneze duniani kote.

Baada ya hapo alihudumia kwa upendo wazee na wagonjwa miaka 40.

Tarehe 28 Mei 1933 Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri na tarehe 27 Julai 1947 Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Saint Catherine Labouré of the Miraculous Medal, by Joseph I Dirvin, CM, TAN Books and Publishers, Inc, 1958/84. ISBN|0-89555-242-6
  • Saint Catherine Labouré and the Miraculous Medal, Alma Power-Waters, Ignatius Press, San Francisco, 1962. ISBN|0-89870-765-X
  • The Life of Chatherine Labouré, by René Laurentin, Collins, 1980. ISBN|0-00-599747-X

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Joseph I. Dirvin, CM. "St. Catherine Laboure of the Miraculous Medal". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-05. Iliwekwa mnamo 2020-12-23. (full text of official biography)
  • "Chapel of Our Lady of the Miraculous Medal, rue du Bac, Paris".
  • "Saint Catherine Labouré: mystic and messenger of the Miraculous Medal". Invisible Monastery of charity and fraternity - Christian family prayer (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 27, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.