Kiabaza
Mandhari
Kiabaza ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi na Uturuki inayozungumzwa na Waabaza. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiabaza nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 37,800. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Uturuki (2014). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabaza iko katika kundi la Abkhazi-Abazini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiabaza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiabaza Archived 22 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiabaza katika Glottolog
- lugha ya Kiabaza kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiabaza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |