Kigen
Mandhari
Kigen ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Wagen. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigen nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 201,000. Pia kuna wasemaji 126,000 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigen iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigen kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigen Archived 3 Aprili 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigen katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gej
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |