Kimaung
Mandhari
Kimaung ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wamaung katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimaung 260.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimaung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaung Archived 3 Mei 2019 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaung katika Glottolog
- lugha ya Kimaung katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |