Kisauri
Mandhari
Kisauri ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasauri. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisauri imehesabiwa kuwa watu 100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisauri iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisauri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisauri
- lugha ya Kisauri katika Glottolog
- lugha ya Kisauri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisauri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |