Nenda kwa yaliyomo

Maongozi ya Mungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ushindi wa Maongozi ya Mungu, mchoro wa Pietro da Cortona.

Maongozi ya Mungu (kwa Kiingereza: Divine Providence au Providence tu [1]; kwa Kigiriki: πρόνοια) ni msamiati wa teolojia hasa ya Kikristo unaomaanisha utendaji wa Mwenyezi Mungu katika ulimwengu.

Kwa kawaida yanatofautishwa "maongozi ya jumla", yanayohusu jinsi Mungu anavyodumisha ulimwengu kadiri ya taratibu ambazo aliupangia, na "maongozi ya pekee", yanayohusu jinsi anavyotumia hiari yake kuingilia maisha ya watu hata kinyume cha taratibu hizo.[2] Miujiza inaingia katika aina hiyo ya pili.[3]

  1. "Divine" evolved in the late 14th century to mean "pertaining to, in the nature of or proceeding from God or a god". This came from the Old French devin or devin, with a similar meaning, and that from the Latin divinus, meaning "of a god", in turn from divus, with similar meaning, which was related the Latin deus, meaning god or deity. The word providence comes from Latin providentia meaning foresight or prudence, and that in turn from pro-, ahead" and videre, to see. Cfr. "providence". providence. 2019. http://www.etyonline.com/search?q=providence.
  2. "Providence". The Concise Oxford Dictionary of World Religions. Encyclopedia.com. Iliwekwa mnamo 2014-07-17.
  3. "Creation, Providence, and Miracle". Reasonable Faith. Iliwekwa mnamo 2014-05-20.
  • Olson, Roger E. (2018). "Calvinism and Arminianism Compared". Roger E. Olson: My evangelical, Arminian theological musings (kwa Kiingereza). Patheos. Iliwekwa mnamo 2019-08-27.
  • Wiley, H. Orton (1940). Christian theology (3 volumes) (kwa Kiingereza). Kansas City, MO: Beacon Hill Press. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-13. Iliwekwa mnamo 2022-04-24. {{cite book}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.