Nenda kwa yaliyomo

Motorola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Motorola MP220

Motorola ni kampuni ya simu ya Marekani iliyoanzishwa tarehe 25 Septemba mwaka 1928.

Baada ya kampuni kupata hasara ya dola bilioni 4.3 kuanzia mwaka 2007 hadi 2009, kampuni hiyo ilijigawanya na kuwa makampuni mawili ambayo ni: Motorola Mobility na Motorola Solution tarehe 4 Januari 2011.

Hivi sasa simu za Motorola hazipatikani kwa wingi kwa sababu haziendani na matakwa ya watu wa kizazi hiki.

Listi ya baadhi ya simu za Motorola

[hariri | hariri chanzo]
  • Motorola Moto G Power (2021): Simu yenye betri kubwa na utendaji mzuri.
  • Motorola Moto G Stylus (2021): Inakuja na kalamu ya staili kwa watumiaji wanaopenda kuchora.
  • Motorola Moto G Pure: Simu ya bei nafuu na sifa za kati.
  • Motorola Edge (2021): Simu ya hali ya juu na skrini inayokunjuka pembeni.
  • Motorola Moto G50: Simu inayolenga soko la kati na uwezo wa 5G.
  • Motorola Moto G9 Power: Inajulikana kwa betri kubwa na kamera yenye nguvu.
  • Motorola Moto G Play (2021): Simu ya bei nafuu inayolenga burudani.
  • Motorola Razr (2020): Simu inayokunjuka kama vile simu za zamani za Razr.
  • Motorola Edge 20 Pro: Simu ya hali ya juu na kamera bora.
  • Motorola Moto G Fast: Simu ya bei nafuu na utendaji wa haraka.
  • Motorola Edge 30 Ultra.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Motorola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.