Mto Bubu
Mandhari
Mto Bubu ni jina la mito minne ya mkoa wa Dodoma (Tanzania ya kati).
Mitatu inaelekeza maji yake kwenye bahari ya Hindi kupitia mto Rufiji.
Mwingine hauelekei bahari wala ziwa lolote la kudumu, ila unaunda madimbwi mengi ya kinamasi cha Bahi (ziwa Sulunga).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.fao.org/docrep/005/t0473e/T0473E09.htm Uvuvi wa maji baridi nchini Tanzania
- https://books.google.com/books?isbn=9251029830 Uvuvi wa maji baridi nchini Tanzania
- https://books.google.com/books?isbn=2831701856 Semina kuhusu vinamasi nchini Tanzania
- http://www.geonames.org Geonames.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Bubu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |