Pierre-Gilles de Gennes
Mandhari
Pierre-Gilles de Gennes (24 Oktoba 1932 – 18 Mei 2007) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa anajulikana kwa kuchunguza fuwele miminiko na sifa zake. Mwaka wa 1991 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pierre-Gilles de Gennes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |