Return of Sabata
Return of Sabata | |
---|---|
| |
Imeongozwa na | Gianfranco Parolini |
Imetungwa na | Renato Izzo Gianfranco Parolini |
Imetaarishwa na | Alberto Grimaldi |
Nyota | Lee Van Cleef |
Muziki na | Marcello Giombini |
Imesambazwa na | MGM/UA |
Muda wake | Dk. 100 |
Imetolewa tar. | 2 Septemba 1971 |
Nchi | Italia |
Lugha | Kitaliano |
Return of Sabata (kwa Kitaliano: È tornato Sabata ... hai chiuso un'altra volta, au kwa tafsri ya haraka-haraka waweza sema "Sabata amerudi ... kuja kumalizia muda uliobaki") ni filamu ya Spaghetti Western ya mwaka wa 1971. Filamu iliongozwa na Gianfranco Parolini. Hii ni filamu ya tatu kutoka katika mfululizo wa filamu za Sabata, inaonyesha kuwa Lee Van Cleef amerudi tena kwa jina lilelile la Sabata, ambalo alitumia katika toleo la kwanza la Sabata, lakini alipokelewa na Yul Brynner katika Sabata sehemu ya pili (Adiós, Sabata), kutokana na mgongano wa ratiba za waigizaji katika filamu.
Hadithi
[hariri | hariri chanzo]Muhtasari wa filamu
[hariri | hariri chanzo]Lee Van Cleef amerudi tena kwa jina la Sabata, ambaye anaelekea zake katika mji mdogo wa Texas kwa lengo la kulipiza kisasi kwa wale wezi waiomgeuka, huku akiwa na wazo la kutaka kuziiba tena zile hela walizomwibia yeye hapo awali.
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Lee Van Cleef kacheza kama Sabata
- Reiner Schöne kacheza kama Clyde
- Giampiero Albertini kacheza kama Joe McIntock
- Ignazio Spallat kacheza kama Bronco
- Annabella Incontrera kacheza kama Maggie
- Jacqueline Alexandre kacheza kama Jackie McIntock
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- È tornato Sabata... hai chiuso un'altra volta at the Internet Movie Database
- (Kiingereza) Return of Sabata katika Allmovie
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Return of Sabata kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |