Utetezi wa dini
Mandhari
Utetezi wa dini unalenga kutoa hoja za kutetea imani ya dini fulani dhidi ya zile za watu wa madhehebu au dini nyingine au za wale wasio na dini yoyote.
Kwa utetezi wa namna hiyo katika lugha nyingi limetoholewa neno la Kigiriki ἀπολογία, apologia, "utetezi wa sauti, hotuba ya utetezi"[1].
Ni tofauti kidogo na hoja zinaotumiwa dhidi ya dini, madhehebu na itikadi nyingine[2][3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "ἀπολογία". Blue Letter Bible-Lexicon. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2012.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|unused_data=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kahlos, Maijastina (2007). Debate and Dialogue : Christian and Pagan Cultures c. 360-430. Aldershot: Ashgate. ku. 7–9. ISBN 0-7546-5713-2.
- ↑ Ernestine, van der Wall (2004). "Ways of Polemicizing: The Power of Tradition in Christian Polemics". Katika T L Hettema and A van der Kooij (mhr.). Religious Polemics in Context. Assen: Royal Van Gorcum. ISBN 90-232-4133-9.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |