Uwanja wa Ndege wa Cam Ranh
Mandhari
Uwanja wa Ndege wa Cam Ranh Sân bay Cam Ranh | |||
---|---|---|---|
IATA: CXR – ICAO: VVCR | |||
Muhtasari | |||
Aina | Public | ||
Opareta | Middle Airports Authority | ||
Serves | Cam Ranh | ||
Mwinuko Juu ya UB |
72 m / ? ft | ||
Anwani ya kijiografia | 15°59′53″N 109°13′10″E / 15.99806°N 109.21944°E | ||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
02/20 | 3,048 | 10,000 | Concrete |
Kiwanja cha Ndege cha Ca Mau ni kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Cam Ranh, Nha Trang nchini Vietnam. Ni kati ya nyanja za ndege kubwa ikiwa abiria zaidi ya milioni 0,4 wanaopita.
Jina kamili kwa Kivietnam ni Sân bay Cam Ranh au kwa Kiingereza Cam Ranh Airport.
Ni kituo kikuu cha Vietnam Airlines.
Kiwanja cha ndege kipo kilomita 36 kusini ya Nha Trang na safari kwa treni kutoka mjini ni dakika 20.