Wilaya ya Nyang'hwale
Mandhari
Wilaya ya Nyang'hwale ni wilaya mpya katika mkoa mpya wa Geita, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.
Makao makuu ya wilaya yapo Kharumwa.
Wilaya hii ilikuwa na wakazi wapatao 148,320 wakati wa sensa ya mwaka 2012. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 225,803 [2].
Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa namba 302xx.
Wilaya ya Nyang'hwale ina shule ya sekondari kongwe ambayo inaitwa Msalala Secondary na ilianzisha mnamo mwaka 2004.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Nyang'hwale - Mkoa wa Geita - Tanzania | ||
---|---|---|
Bukwimba | Busolwa | Izunya | Kaboha | Kafita | Kakora | Kharumwa | Mwingiro | Nundu | Nyabulanda | Nyamtukuza | Nyang'hwale | Nyijundu | Nyugwa | Shabaka |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |