Wilaya ya Tandahimba
Mandhari
Wilaya ya Tandahimba ni wilaya moja ya Mkoa wa Mtwara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 227,514 [1] Wengi wao ni Wamakonde.
Eneo la wilaya lina kilomita za mraba 1,894.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Ramani ya wilaya ya Tandahimba Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Archived 22 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Tandahimba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
Kata za Wilaya ya Tandahimba - Tanzania | ||
---|---|---|
Chaume | Chikongola | Chingungwe | Dinduma | Kitama 1 | Kwanyama | Litehu | Luagala | Lukokoda | Lyenje | Mahuta | Malopokelo | Maundo | Mchichira | Mdimba Mnyoma | Michenjele | Mihambwe | Miuta | Milongodi | Mkonjowano | Mkoreha | Mkundi | Mkwedu | Mkwiti | Mndumbwe | Mnyawa | Nambahu | Namikupa | Nanhyanga | Naputa | Ngunja | Tandahimba |