Yohane wa Tobolsk
Mandhari
Yohane wa Tobolsk (jina la awali: Iwan Maksymowicz; Nizhyn, leo nchini Ukraina, 1651 – Tobolsk, Urusi, 10 Juni 1715) alikuwa mmonaki, padri, abati na hatimaye (1696) askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Mwaka 1916 Kanisa lake lilithibitishwa heshima hiyo.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Iliotropion by St. John (Kirusi)
- St John Maximovitch the Metropolitan of Tobolsk Orthodox icon and synaxarion (Kiingereza)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |