Kupangwa - Movies Series
Kupangwa - Movies Series
Kupangwa - Movies Series
(CONTINUED)
CONTINUED: 2.
BENTA.
So unajaribu kusema sasa mimi Benta
nililaniwa sindio na bytha nikama.
Thinking.
Takes the packet of khat from Frank and starts chewing.
Alafu eti mbebez ule mwenye analia
shidah ata kunishinda infact kudate
na ule ni blander.
BABJI
Heheheh weee nikama hii jaba
imeanza kazi yake heheheh. na ni
mbili to ndio amedishi sasa
akimaliza hio pako.
FRANK
..Ataanza kutuambia story ya John
the baptist alikuwa uncle ya
herode.
BENTA.
Bytha wasee mi nadai kuwacha hii
wera sioini kukwa kuzuri hapa
mbele.
BABJI
Tena gani hizo umeanza wee chizi
nini. Usijariribu kuleta hio ufala
hapa, unless unataka Madam
akufanyie ile kitu.
BENTA.
So ni do? Mi nimewashow hapa mbele
naona ikiwa kubaya, venye vitu
zinaenda hivi sio kupoa.
FRANK
Cheki...Unadai kuwacha alafu?. Wewe
ndio ulisema huku hakuna kutoka.
BENTA.
Eeeh lakini...
UNCLE BEN
Hapana Nairobi iko huko kwingine,
ne rasingwa ni. Hii ni Nairobi.
OLUNGA
Nyaka mabat sufuria igedo go.
Reaches for one of the wall’s house and tries to press
inside making a depression nearly falling inside.
...nlifikiria mabati ni ya juu ya
nyumba... pia ni ukuta.
UNCLE BEN
Neeeh ginene. Tembea.
Turns and grabs Olunga’s hand pulling him to his house door.
OLUNGA
aaaaih nera kwani kuuliza nimbaya.
UNCLE BEN
Tumefika... hii ndio mlango,
maswali nyingi wachana nayo.
(CONTINUED)
CONTINUED: 4.
OLUNGA
eeeih ne...
Ben cuts Olunga’s words with a fears look.
UNCLE BEN
...good!. Rule number 1; Hakuna
kufungulia mtu yeyote kama sio
mimi, sawa.
OLUNGA
Nodes in acceptance.
...sawa.
Uncle Ben opens the door completely and enters follwed by
Olunga. Sits on a plastic chair, directs Olunga to sit on
the Old torn sofa, Olunga sits hesitatingly while looking
around.
UNCLE BEN
Rule number 2; Usitoke nje ukiingia
kwa nyumba, wakora ni wengi
Nairobi. And ya mwisho, Usiniite
Nera tena, na lugha ni kiswahili.
Tumeskizana.
OLUNGA
Sawa sawa... na Nera...pole, uncle
huku unaishi ama ni store ya kuweka
vitu alafu tunaenda kwa nyumba...
nyumba iko na wapi.
UNCLE BEN
Hapa ndio utakaa, nlikuambia uwache
maswali, ama unataka hio pia
niongeze kwa rules.
Uncle Ben wakes up and goes to the door, picks up a padlock
opens the door.
(CONTINUED)
CONTINUED: 5.
OLUNGA
Kwani unatoka tena?.
UNCLE BEN
Narudi!.
Uncle Ben goes out and locks the door with the padlock from
outside. Olunga starts to call.
OLUNGA
Nera! tena unafunga...Nera!
Nera!...
Goes to the door tries to shake it to open.
Nairobi!.
MADAM MILLER(O.C)
Chukua hao watu wako mwende
mkatafute mahali inakaa hivyo.
BENTA.
Sawa madam... Na wanakaa to nkama
wamelala.
Looks at Babji and Frank who are busy laughing at a
distance.
MADAM MILLER(O.C).
Wamelala...?!. Mnalala aje mchana.
BENTA.
Nkama awako sawa...!.
MADAM MILLER(O.C).
...usijali, hao unajua venye
utawasort... natuma kitu hapo ya
logistics pamoja na ya hao watoto
wako... ndio walele vizuri.
(CONTINUED)
CONTINUED: 6.
BENTA.
(Smily)
...eeeish madam...! hapo sasa...
hio shughuli tunaichangamkia to
sai!.
MADAM MILLER(O.C).
Do as we do... No tails, no
colateral...everything masked and
erased.
BENTA.
Kabisa!.
MADAM MILLER(O.C).
Okay report to me when you have the
photos and something nice. Make me
smile!.
BENTA.
Si unajua to madam!.
MADAM MILLER(O.C).
Okay then...fanyeni kazi!.
Hangs the phone.
BENTA.
Thinking
...Na madam... kuna kitu nlikuwa
nataka kukuambia...hello!...Hello!.
Benta looks at the phone and turns to Babji and Frank.
Oya...Amsheni!, kuna mteja.
FRANK
(excitedly)
Wakes up.
Walahi!.
BABJI.
Rises and walks past Benta followed by Frank.
Alafu ulikuwa unataka kuwacha...
Mocking Benta.
Si uwache basi... wacha!... tuone
kama utabuy hio liomizin yako.
(CONTINUED)
CONTINUED: 7.
FRANK
Mimicking Benta earlier words.
...nataka nibuy nyumba na
gari...lakini hii kazi nawacha!.
Benta still rooted to the spot looks at Babji and Frank and
as they puppet past her.
BABJI.
(CONTINUED)
CONTINUED: 8.
UNCLE BEN
Ssssh. Ni usiku hakuna kelele.
Uncle Ben lights up an old kerosene lamp on top of the empty
old, broken mini cabinate. Then sits down on his favorite
plastic chair, starts to remove his shoes.
OLUNGA
...Na watu wa Nairobi mnaishi
aje...unakuja kwako kama mwizi!.
UNCLE BEN
...wacha kelele...ikifika usiku
hakuna mtu anaongea huku... hawafai
kujua kama uko ndani.
OLUNGA
...kina nani?.
Uncle Ben dropps himself mercilesly on the mat and closes
his eyes ready to sleep. Leaving Olunga shocked by the drop
and tries to wake him up.
OLUNGA
...Nera... kwani hivyo ndio
umelala... hatukuli!.
Shakes his Uncle.
Nera!. Nera!.
UNCLE BEN
(Tiresomely)
...Chukua maji hapo kwa ndoo
ukunywe!.
OLUNGA
Maji?.
Olunga looks around to try find something like a backet in
the darks room, with a fading kerosene lamp.
UNCLE BEN
Harakisha ulale kabla hio taa
haijazima.
OLUNGA
...onge bwana!... nera okanyal
nindo gi pi kende iia! amadh pi
debe kwani an liech.
Suddenly the kerosene lamp fades off and turns off bringing
total darkness in the room.
(CONTINUED)
CONTINUED: 9.
OLUNGA
Nera...Nera taa osim. Leta hapo
pesa ya mafuta na chakula.
UNCLE BEN
(sleepy)
Hio taa tangu inunuliwe haijawahi
wekwa mafuta... usijisumbue.
Unavuta kitambi juu inawaka
ikichomeka hadi inazima, kesho tena
unavuta juu. ikiisha unanunua
kitambi pekeyake. Mambo ya mafuta
sijui.
OLUNGA
Aaaai nera hapana... mago tang’o.
UNCLE BEN
Unaongea nyingi kwa giza kwani wewe
ni mchawi...in jaido...Olunga
nidi...
OLUNGA
Nera...!
UNCLE BEN
...Nindi!...
OLUNGA
To nera...
UNCLE BEN
Olunga kikawinji kanyo kiyao dhogi
no.
(CONTINUED)
CONTINUED: 10.
UNCLE BEN
wuogna...!.
Olunga squizes himself on the side and leaving a narrow path
for Uncle Ben to enter.
nkiinga hapa ndani kabla
yako...uende venye umetoka hivyo.
Olunga turns and gets in the house.