Bunge la Umoja wa Afrika : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
d robot Adding: de:Panafrikanisches Parlament |
Kusahihisha sentensi kuhusu G Mongella |
||
(marekebisho 18 ya kati na watumizi wengine 16 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Image:panafricanparliament.jpg|thumb|300px|Jengo la Bunge la Umoja wa Afrika]] |
[[Image:panafricanparliament.jpg|thumb|300px|Jengo la Bunge la Umoja wa Afrika]] |
||
'''Bunge la Umoja wa Afrika''' ni mkutano wa |
'''Bunge la Umoja wa Afrika''' ni mkutano wa wawakilishi wa nchi wanachama wa [[Umoja wa Afrika]]. |
||
Wabunge wake 265 |
Wabunge wake 265 hawapigwi [[kura]] na [[raia]] wa nchi wanachama bali wanateuliwa na [[bunge]] za nchi wanachama. Kwa sasa kazi ya bunge ni kutoa ushauri tu kwani haina [[mamlaka]] ya kutunga [[sheria]]. |
||
Makao ya bunge |
[[Makao makuu]] ya bunge yapo [[mjini]] [[Midrand]] ([[Afrika Kusini]], sasa kwa muda katika [[jengo]] la Gallagher Estate katikati ya [[Johannesburg]] na [[Pretoria]]. Afrika Kusini inalipa [[gharama]] za makao na za [[ofisi]] ya bunge. |
||
Mkutano wa kwanza |
Mkutano wa kwanza ulifanyika Machi [[2004]]. Mwenyekiti wa kwanza wa bunge hilo alikuwa [[Gertrude Mongella]] kutoka [[Tanzania]]. |
||
Ana makamu wanne kutoka kanda nne za |
Ana makamu wanne kutoka [[kanda]] nne za Afrika, nao ndio: |
||
* F. Jose Dias Van-Du’Nem kutoka [[Angola]] (Afrika ya Kusini) |
* [[F. Jose Dias Van-Du’Nem]] kutoka [[Angola]] (Afrika ya Kusini) |
||
* Mohammed Lutfi Farhat kutoka [[Libya]] (Afrika ya Kaskazini) |
* [[Mohammed Lutfi Farhat]] kutoka [[Libya]] (Afrika ya Kaskazini) |
||
* Loum N. Neloumsei Elise kutoka [[Chad]] (Afrika ya Kati) |
* [[Loum N. Neloumsei Elise]] kutoka [[Chad]] (Afrika ya Kati) |
||
* Theophile Nata kutoka [[Benin]] (Afrika ya Magharibi) |
* [[Theophile Nata]] kutoka [[Benin]] (Afrika ya Magharibi) |
||
{{Africa topics}} |
|||
{{African Union}} |
|||
{{African Union languages}} |
|||
{{mbegu}} |
|||
[[Jamii:Umoja wa Afrika]] |
|||
[[cs:Panafrický parlament]] |
|||
[[Jamii:Bunge]] |
|||
[[de:Panafrikanisches Parlament]] |
|||
[[Jamii:Bunge la Umoja wa Afrika| ]] |
|||
[[en:Pan-African Parliament]] |
|||
[[fr:Parlement panafricain]] |
|||
[[ro:Parlamentul Panafrican]] |
|||
[[sv:Panafrikanska parlamentet]] |
Toleo la sasa la 14:23, 28 Juni 2021
Bunge la Umoja wa Afrika ni mkutano wa wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika.
Wabunge wake 265 hawapigwi kura na raia wa nchi wanachama bali wanateuliwa na bunge za nchi wanachama. Kwa sasa kazi ya bunge ni kutoa ushauri tu kwani haina mamlaka ya kutunga sheria.
Makao makuu ya bunge yapo mjini Midrand (Afrika Kusini, sasa kwa muda katika jengo la Gallagher Estate katikati ya Johannesburg na Pretoria. Afrika Kusini inalipa gharama za makao na za ofisi ya bunge.
Mkutano wa kwanza ulifanyika Machi 2004. Mwenyekiti wa kwanza wa bunge hilo alikuwa Gertrude Mongella kutoka Tanzania.
Ana makamu wanne kutoka kanda nne za Afrika, nao ndio:
- F. Jose Dias Van-Du’Nem kutoka Angola (Afrika ya Kusini)
- Mohammed Lutfi Farhat kutoka Libya (Afrika ya Kaskazini)
- Loum N. Neloumsei Elise kutoka Chad (Afrika ya Kati)
- Theophile Nata kutoka Benin (Afrika ya Magharibi)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |