Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tiketi ya ndege ikionesha gharama katika msimbo wa ISO 4217
ISO 4217 ni kifupisho sanifu cha pesa za nchi zote. Kimewekwa na Shirika la Kimataifa la Usanifishaji (kwa Kiingereza "International Organization for Standardization, ISO").
ISO 4217 ni orodha ya alama za vifupisho vya pesa. Kila kifupisho kina herufi tatu. Herufi mbili zinarejea nchi, na herufi ya tatu inarejea jina la pesa la nchi husika.
Kwa mfano,
kifupisho cha pesa ya Japani ni JPY , yaani JP kwa Japani, na Y kwa Yen .
kifupisho cha pesa ya Tanzania ni TZS , yaani TZ kwa Tanzania, na S kwa Shilingi .
vivyo hivyo Kenya ina KES , yaani KE kwa Kenya, na S kwa shilingi.
tofauti kwa sababu za mabadiliko ya kihistoria ni kifupisho cha pesa ya Uganda ni UGX , yaani UG kwa Uganda. X inaitaja shilingi mpya ya Uganda (tangu 1990). Hadi 1987 kifupisho cha ISO ilikuwa UGS kwa ajili ya shilingi ya kwanza iliyoharibika kabisa wakati wa utawala wa Iddi Amin na vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyofuata, ikawa "old shilling" yenye kifupisho cha ISO UGW kwa kipindi cha 1989 to 1990 halafu tangu mwaka 1990 UGX pekee kwa shilingi mpya iliyokuwa sasa pesa halali ya pekee nchini Uganda.[ 1]
http://www.jhall.demon.co.uk/currency/ Archived 5 Machi 2007 at the Wayback Machine .
Kifupisho
Namba
E
Jina la Pesa
Nchi zinazotumia pesa hiyo
AED
784
2
Dirham ya Falme za Kiarabu
Falme za Kiarabu
AFN
971
2
Afghani
Afghanistan
ALL
008
2
Lek
Albania
AMD
051
2
Dram
Armenia
ANG
532
2
Gulder
Antili za Kiholanzi
AOA
973
2
Kwanza
Angola
ARS
032
2
Peso ya Argentina
Argentina
AUD
036
2
Dola ya Australia
Australia , Australian Antarctic Territory , Christmas Island , Cocos (Keeling) Islands , Heard and McDonald Islands , Kiribati , Nauru , Norfolk Island , Tuvalu
AWG
533
2
Gulder ya Aruba
Aruba
AZN
944
2
Manat
Azerbaijan
BAM
977
2
Mark
Bosnia na Herzegovina
BBD
052
2
Dola ya Barbados
Barbados
BDT
050
2
Taka
Bangladesh
BGN
975
2
Leva
Bulgaria
BHD
048
3
Dinar ya Bahrain
Bahrain
BIF
108
0
Faranka ya Burundi
Burundi
BMD
060
2
Dola ya Bermuda )
Bermuda
BND
096
2
Dola ya Brunei
Brunei
BOB
068
2
Boliviano
Bolivia
BRL
986
2
Real ya Brazil
Brazil
BSD
044
2
Dola ya Bahamas
Bahamas
BTN
064
2
Ngultrum
Bhutan
BWP
072
2
Pula
Botswana
BYN
933
2
Rubli ya Byelarusi
Belarus
BZD
084
2
Dola ya Belize
Belize
CAD
124
2
Dola ya Kanada
Kanada
CDF
976
2
Faranka ya Kongo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
CHE
947
2
WIR Euro (pesa ya ziada )
Uswisi
CHF
756
2
Faranka ya Uswisi
Uswisi
CHW
948
2
WIR Franc ya (pesa ya ziada )
Uswisi
CLP
152
0
Peso ya Chile
Chile
CNY
156
2
Yuan Renminbi
China
COP
170
2
Peso ya Kolumbia
Colombia
COU
970
2
Unidad de Valor Real
Colombia
CRC
188
2
Colon
Costa Rica
CUP
192
2
Peso ya Kuba
Cuba
CVE
132
2
Escudo ya Cabo Verde
Cape Verde
CYP
196
2
Pound ya Cyprus
Kupro
CZK
203
2
Koruna
Ucheki
DJF
262
0
Faranka ya Jibuti
Jibuti
DKK
208
2
Krone ya Denmark
Denmark , Faroe Islands , Greenland
DOP
214
2
Peso dominicano
Dominican Republic
DZD
012
2
Dinar ya Algeria
Algeria
EGP
818
2
Pound ya Misri
Misri
ERN
232
2
Nakfa
Eritrea
ETB
230
2
Birr
Ethiopia
EUR
978
2
Euro
Umoja wa Ulaya , angalia Eurozone
FJD
242
2
Dola ya Fiji
Fiji
FKP
238
2
Pound ya Falkland
Falkland Islands
GBP
826
2
Pound Sterling
Uingereza
GEL
981
2
Lari
Georgia
GHC
288
2
Cedi
Ghana
GIP
292
2
Pound ya Gibraltar
Gibraltar
GMD
270
2
Dalasi
Gambia
GNF
324
0
Faranka ya Guinea
Guinea
GTQ
320
2
Quetzal
Guatemala
GYD
328
2
Dola ya Guyana
Guyana
HKD
344
2
Dola ya Hong Kong
Hong Kong
HNL
340
2
Lempira
Honduras
HTG
332
2
Gourde
Haiti
HUF
348
2
Forint
Hungary
IDR
360
2
Rupia
Indonesia
ILS
376
2
Shekel
Israel
INR
356
2
Rupia
Bhutan , Uhindi
IQD
368
3
Dinar ya Iraq
Iraq
IRR
364
2
Rial
Iran
ISK
352
2
Krona ya Iceland
Iceland
JMD
388
2
Dola ya Jamaica
Jamaica
JOD
400
3
Dinar ya Yordani
Jordan
JPY
392
0
Yen
Japani
KES
404
2
Shilingi ya Kenya
Kenya
KGS
417
2
Som
Kirgizia
KHR
116
2
Riel
Cambodia
KMF
174
0
Faranka ya Komoro
Comoros
KPW
408
2
Won ya Korea Kaskazini
Korea Kaskazini
KRW
410
0
Won ya Korea Kusini
Korea Kusini
KWD
414
3
Dinar ya Kuwait
Kuwait
KYD
136
2
Dola ya Cayman
Cayman Islands
KZT
398
2
Tenge
Kazakhstan
LAK
418
2
Kip
Laos
LBP
422
2
Lira ya Lebanoni
Lebanon
LKR
144
2
Rupia ya Sri Lanka
Sri Lanka
LRD
430
2
Dola ya Liberia
Liberia
LSL
426
2
Loti
Lesotho
LYD
434
3
Dinar ya Libya
Libya
MAD
504
2
Dirham ya Moroko
Morocco , Sahara ya Magharibi
MDL
498
2
Leu ya Moldova
Moldova
MGA
969
0
Ariary
Madagascar
MKD
807
2
Denar
Jamhuri ya Masedonia
MMK
104
2
Kyat
Myanmar
MNT
496
2
Tugrik
Mongolia
MOP
446
2
Pataca
Macau
MRO
478
2
Ouguiya
Mauritania
MUR
480
2
Rupia ya Morisi
Morisi
MVR
462
2
Rufiyaa
Maldives
MWK
454
2
Kwacha ya Malawi
Malawi
MXN
484
2
Peso ya Meksiko
Mexico
MYR
458
2
Ringgit
Malaysia
MZN
943
2
Metical
Msumbiji
NAD
516
2
Dola ya Namibia
Namibia
NGN
566
2
Naira
Nigeria
NIO
558
2
Cordoba Oro
Nicaragua
NOK
578
2
Krone ya Norwei
Norway
NPR
524
2
Rupia ya Nepal
Nepal
NZD
554
2
Dola ya New Zealand
Cook Islands , New Zealand , Niue , Pitcairn , Tokelau
OMR
512
3
Rial Omani
Oman
PAB
590
2
Balboa
Panama
PEN
604
2
Nuevo Sol
Peru
PGK
598
2
Kina
Papua New Guinea
PHP
608
2
Peso ya Ufilipino
Philippines
PKR
586
2
Rupia
Pakistan
PLN
985
2
Zloty
Poland
PYG
600
0
Guarani
Paraguay
QAR
634
2
Rial ya Qatar
Qatar
ROL
642
2
Leu ya Romania
Romania
RON
946
2
Leu mpya
Romania
RSD
941
2
Dinari ya Serbia
Serbia
RUB
643
2
Rubli
Urusi , Abkhazia , Ossetia Kusini
RWF
646
0
Faranka ya Rwanda
Rwanda
SAR
682
2
Riyal
Saudi Arabia
SBD
090
2
Dola ya visiwa vya Solomon
Solomon Islands
SCR
690
2
Rupia
Seychelles
SDD
736
2
Dinari ya Sudan
Sudan
SDG
938
2
Lira ya Sudani
Sudan
SEK
752
2
Krona ya Uswidi
Sweden
SGD
702
2
Dola ya Singapur
Singapur
SHP
654
2
Pound ya Saint Helena
Saint Helena
SLL
694
2
Leone
Sierra Leone
SOS
706
2
Shilingi ya Somalia
Somalia
SRD
968
2
Dola ya Surinam
Suriname
STD
678
2
Dobra
São Tomé na Príncipe
SYP
760
2
Lira ya Syria
Syria
SZL
748
2
Lilangeni
Eswatini
THB
764
2
Baht
Thailand
TJS
972
2
Somoni
Tajikistan
TMM
795
2
Manat ya Turkmenistani
Turkmenistan
TND
788
3
Dinari ya Tunisia
Tunisia
TOP
776
2
Pa'anga
Tonga
TRY
949
2
Lira ya Uturuki
Uturuki
TTD
780
2
Dola ya Trinidad and Tobago
Trinidad na Tobago
TWD
901
2
Dola ya Taiwan
Taiwan
TZS
834
2
Shilingi ya Tanzania
Tanzania
UAH
980
2
Hryvnia
Ukraine
UGX
800
2
Shilingi ya Uganda
Uganda
USD
840
2
Dolar ya Marekani
American Samoa , British Indian Ocean Territory , Ecuador , El Salvador , Guam , Haiti , Marshall Islands , Micronesia , Northern Mariana Islands , Palau , Panama , Timor ya Mashariki , Visiwa vya Turks na Caicos , Marekani , Visiwa vya Virgin
UYU
858
2
Peso Uruguayo
Uruguay
UZS
860
2
Som
Uzbekistan
VEB
862
2
Bolívar
Venezuela
VND
704
2
Dồng
Vietnam
VUV
548
0
Vatu
Vanuatu
WST
882
2
Tala
Samoa
XAF
950
0
Faranka ya CFA - BEAC
Kamerun , Jamhuri ya Afrika ya Kati , Jamhuri ya Kongo , Chad , Guinea ya Ikweta , Gabon
XAG
961
.
Fedha (aunsi ya Troy moja)
XAU
959
.
Dhahabu (aunsi ya Troy moja)
XCD
951
2
Dola ya Karibi
Anguilla , Antigua na Barbuda , Dominica , Grenada , Montserrat , Saint Kitts na Nevis , Saint Lucia , Saint Vincent na Visiwa vya Grenadini
XOF
952
0
Faranka ya CFA - BCEAO
Benin , Burkina Faso , Côte d'Ivoire , Guinea-Bissau , Mali , Niger , Senegal , Togo
XPD
964
.
Palladi (aunsi ya Troy moja)
XPF
953
0
Faranka ya CFP
Polynesia ya Kifaransa , New Caledonia , Wallis na Futuna
XPT
962
.
Platini (aunsi ya Troy moja)
YER
886
2
Rial ya Yemeni
Yemen
ZAR
710
2
Rand
Afrika Kusini
ZMK
894
2
Kwacha ya Zambia
Zambia
ZWD
716
2
Dola ya Zimbabwe
Zimbabwe
↑ tazama List of codes for historic denominations of currencies & funds kwenye tovuti ya https://www.currency-iso.org , ilitazamiwa Mei 2017
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu ISO 4217 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .