Visiwa vya Madeira
Mandhari
Região Autónoma da Madeira (Jimbo la kujitawala la Madeira) | |||
| |||
Wito: Das ilhas as mais belas e livres (Visiwa maridadi na huru kuliko vyote) | |||
Nchi | Ureno | ||
Lugha | Kireno | ||
Mji mkuu | Funchal | ||
Miji mingine | Porto Santo, Machico, Santa Cruz, Câmara de Lobos, Santana, Caniço | ||
Eneo | 794 km² | ||
Urefu / upana hadi | 57 km/22 km | ||
Wakazi (2003) | 265.000 (5.000 Porto Santo), 2,5 % ya wakazi wote wa Ureno | ||
Idadi ya tarafa | 11 | ||
Mlima wa juu | Pico Ruivo (1.862 m) | ||
Rais wa serikali ya jimbo | Alberto João Jardim | ||
Jimbo la kujitegemea tangu | 1976 | ||
Saa za eneo | UTC | ||
Simu ya kimataifa | +351 291 | ||
Wimbo | A Portuguesa (kitaifa) Hino da Região Autónoma da Madeira (kijimbo) |
Visiwa vya Madeira ni funguvisiwa la Ureno katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika. Iko takriban km 1000 kusini kwa Lisbon na 600 magharibi kwa Moroko.
Jina la Madeira lamaanisha "ubao" kwa Kireno.
Kisiwa kikubwa kinaitwa Madeira vilevile. Karibu nacho ni kisiwa kidogo cha Porto Santo na visiwa vidogo visivyo na wakazi vya Ilhas Desertas na Ilhas Selvagens.
Madeira ina hali ya jimbo la kujitawala ndani ya Ureno.
Wakazi ni 289,000; karibu wote ni wa asili ya Ureno na kwa dini ni Wakristo Wakatoliki (96%).
Picha za Madeira
[hariri | hariri chanzo]-
Soko katika mji mkuu Funchal
-
Msitu wa Laurazeen
-
Bustani ya maonyesho, Funchal
-
Bustani
-
Bustani ya Azulejos, Monte
-
Bafu ya asili, Porto Moniz
-
Visiwa vya mashariki
-
Kisiwa cha maua
-
Mlima wa Pico das Torres
-
Nyumba ya kimila ya mkulima
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Madeira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Madeira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira |