Spiritan Theologate House Diaconate Ordination-1

Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 9

SPIRITAN THEOLOGATE HOUSE haya ni mapenzi yako ninakubali mimi

DIACONATE ORDINATION mtumishi wako, unitendee kama, vile


ORDER OF MASS upendavyo.
(11th October 2024)
Kufanya mapeenzi yako ni hamu yangu,
A. PROCESSION hamu ya moyo wangu, kuyatimiza
utakayoniagiza, nakuomba msaada wako ee
Tazama anakuja Kuhani Baba mwema peke yangu siwezi, neema na
Baraka zako ziniongoze.
Tazama anakuja Kuhani -Kuhani mkuu ************************************
Alama na ishara ya Kristu - Chunga Nimesikia Sauti
kondoo
Nimesikia sauti yako Bwana waniita x2
Chimbuko ni umoja Chimbuko ni njoo mwanangu njoo mwanangu njoo
upendo Matunda ni amani mwanangu uwachunge kondoo wangu x2.

Chimbuko ni umoja Chimbuko ni Ninaitika Bwana unitume nimekuja Bwa-na


upendo Matunda ni amani ili unitume.

Ni wewe kuhani milele umetakaswa Shambani mwako mna mavuno mengi,


upo na kundi chunga kondoo. watenda kazi Bwa-na kweli ni wachache.

Msalaba mabegani wabeba -Kuhani Mkuu Sitaogopa pote unitumapo nitakwenda


Alama na ishara ya pendo - Chunga Bwana kuitenda kazi
Kondoo
Nitahubiri mataifa yote, ili wajue Bwana
Baraka sisi utupatie - Kuhani Mkuu wewe ndiwe Mungu.
Kwa wema uliongoze kundi - Chunga ************************************
Kondoo Nitawapeni wachugaji: By Mbongoye

Halifa halisi wake Kristu - Kuhani Nitawapeni wachungaji, wanipendao


Mkuu Moyoni, watakaowalisha kwa maarifa na
Dunia yote waifundisha - Chunga Busara (Ninyi) watakaowalisha kwa
kondoo maarifa na Busara.
************************************
Mimi ni Nani 1.Rudini enyi watoto wenye kuasi, asema
Bwana, maana mimi ni mume wenu.
Mimi ni nani, mimi ni nani Bwana
Mungu, na nyumba yangu ni nini, (hata 2.Nami nitawaleta, hata sayuni nami
umenileta, hata hapa, hata umenileta, nitawapa ninyi wachungaji, wanipendezao,
hata hapa nikutumikie) X2 moyo wangu.

Ingawa mimi mdogo hukujali udogo 3.Nami nitatwaa mtu mtu mmoja, wa mji
hukujali udogo, umeniita Bwana mmoja na wawili, na wawili wa jamaa moja.
nikutumikie, ingawa mimi mnyonge
************************************
hukujali unyonge hukujali unyonge,
OTHERS
umeniita Bwana nikutumikie.
Nasikia Sauti ya Bwana
Nami naitikia wito bila kusita na bila
Nasikia Bwana unaniita x 2
wasiwasi, nimesema nitume, nitume niende,
Nichague mimi, nitakase Bwana, Ayi Mukama utusasire (utusasire) mukama,
nichague mimi, niwe wako, niwachunge mukama, ayi Mukama, utusasire, ayi
kondoo wako x 2 Mukama utusasire.

Mashairi: Ayi Kristu utusasire (utusasire) Kristu,


Kristu, ayi Kristu, utusasire, ayi Kristu
1.Roho inataka, kuitikia, mwili ni dhaifu, utusasire.
ninasongwa
Bwana nipe nguvu kuitikia, siku zote mimi, Ayi Mukama utusasire (utusasire) mukama,
nikupende mukama, ayi Mukama, utusasire, ayi
Mukama utusasire.
2.Kundi lako Bwana linavutia, Bwana nipe **********************************
fimbo nilichunge. C. GLORIA:
Shetani mwovu ananyatia, Bwana nipe
nguvu nimshinde. Subukia Mass

3.Mbwa mwitu nao wananyatia, Bwana nipe {Utukufu juu kwa Mungu, na amani
nguvu niwashinde. duniani, Kwa watu aliowaridhia, kwa
Niwe mchungaji na kubakia, mwaminifu watu aliowaridhia} *2
kwako siku zote.
Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu
4.Baba pia mwana niwatukuze, Roho tunakutukuza
Mtakatifu atukuzwe. Twakushukuru kwa ajili yako, ya utukufu
Roho wako Bwana aniongoze, daima milele wako mkuu.
niwe wako.
************************************ Ee Mungu Baba ndiwe mfalme, Wa
Bwana Amenituuma Kuwahubiri Mbinguni Baba mwenyezi.
Ee Yesu Kristu mwana wa pekee,
(Bwana) Amenituma (mimi) mwanakondoo mwana wa Baba.
amenituma kuwahubiri mataifa habari
njema Uondoaye dhambi za watu tuhurumie
(Bwana) Amenituma (mimi) tusikilize,
amenituma kuwahubiri mataifa habari Tuhurumie mwenye rehema maombi yetu
njema uyapokee.
Uketiye kuume kwake, Mungu baba
tuhurumie.
1.Amenituma kuwatangazia wafungwa, Kwa kuwa ndiwe pekee yako, Pekee yako
wafungwa kufunguliwa kwao *2 Mtakatifu.

2.Na vipofu kupata kuona tena Pamoja naye roho Mtakatifu, katika utukufu
kuwaacha huru waliotekwa * 2 wake
Anayeishi na kutawala, milele yote Amina.
3.Na kutangaza kutangaza mwaka wa **********************************
Bwana, wa Bwana uliokubaliwa D. GOSPEL PROCESSION
************************************ Neno La Bwana:
B. KYRIE
Ayi Mukama Tusasiire (Luganda Mass) Neno la Bwana (neno)
Limekuja kwetu sisi
(Na tulipokee) kwa furaha kwa imani
Ndilo Neno lenye kutuletea wokovu
{Njoo wangu Mfariji, yako shusha
Neno la Bwana Yesu Kristu mapaji, Roho Mungu njoo} x 2
Ni taa ya mioyo yetu 1. Hekima nishushie, Mungu nimfuate,
Kwa hivyo inatupasa tulipokee Roho Mungu njoo

Neno la Bwana Yesu Kristu 2. Akili nijalie, imani nizidie, Roho Mungu
Ni njia ya wokovu wetu njoo
Kwa hivyo inatupasa tulipokee
3. Shauri Nieneze, nishike njia nzuri, Roho
Neno la Bwana Yesu Kristu Mungu njoo.
Faraja ya watesekao
Kwa hivyo inatupasa tulipokee 4. Nguvu Nizidishie, n`sifanye ulegevu,
Roho Mungu njoo
Neno la Bwana Yesu Kristu
Tulizo kwa wagonjwa wote 5. Elimu nieleze, hakika niongoze, Roho
Kwa hivyo inatupasa tulipokee Mungu njoo.
**********************************
E. RESPONSORIAL PSALM 6. Ibada niwashie, pekee nikutamani, Roho
Mungu njoo
Mshukurani Bwana
7. Uchaji nitilie, dhambi niichukie, Roho
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema Mungu njoo.
kwa maana fadhili zake ni za milele X2 **********************************
H. LITANY OF SAINTS
1. Washukao baharini katika merikebu Litania ya Wakakatifu (sssfmfsm)
wafanyao kazi yao katika maji mengi hao
huziona kazi za Bwana na maajabu yake Bwana, utuhurumie -(Bwana, utuhurumie)
vilindini Kristu, utuhurumie- (Kristu, utuhurumie)
Bwana, utuhurumie -(Bwana, utuhurumie)
2. Maana husema akavumisha upepo na
Maria Mtakatifu Mama wa Mungu--
dhoruba ukayainua juu mawimbi yake
wapanda mbinguni wateremka vilindini Utuombee
nafsi yao yayeyuka kwa hali mbaya Watakatifu Malaika wa Mungu -
Mtakatifu Yosefu- Utuombee
3. Wakamlilia Bwana wakamlilia katika Mtakatifu Yohane Mbatizaji -Utuombee
dhiki zao akawaponya na shida zao hutuliza Watakatifu Petro na Paulo-Mtuombee
dhoruba ikawa shwari mawimbi yake Mtakatifu Andrea-Utuombee
yakanyamaza Mtakatifu Yohane-Utuombee
********************************** Mtakatifu Maria Magdalina-
F. ALLELUIA by Jjambu Mtakatifu Stefano-Utuombee
Mtakatifu Yuda Tadei- Utuombee
Alleluia, Alleluia, Alleluia tuimbe, Alleluia Mtakatifu Inyasi wa Antiokia -Utuombee
tuimbe ee Mtakatifu Laurenti-Utuombee
********************************** Mtakatifu Fransisko Xaveri-Utuombee
G. HOLY SPIRIT SONGS
Mtakatifu Hilary- Utuombee
Watakatifu Perpetua na Felista- Mtuombee
Njoo Wangu Mfariji
Mtakatifu Agnesi- Utuombee
Mtakatifu Gregori- Utuombee
Mtakatifu Augustino - Utuombee
Mtakatifu Yohane Maria Vianey- Utuombee na wote wenye daraja–
Mtakatifu Antonio wa Padua-Utuombee katika Kanisa takatifu- Twakuomba utusikie
Mtakatifu Fransisko wa Assisi - Utuombee Upende kututhibitisha sisi na–
Mtakatifu Basili -Utuombee kutudumisha katika utumishi–
Mtakatifu Benedicto-Utuombee wako Mtakatifu Twakuomba utusikie
Mtakatifu Edwin - Utuombee
Mtakatifu Mathayo- Utuombee Upende kuwajalia mataifa yote–
amani na mapatano ya kweli -Twakuomba
Watakatifu Fransisko na Dominiko-
Mtuombee utusikie
Mtakatifu Inyasi wa Loyola- Na Wateule hawa upende–
Utuombee kuwabariki, kuwatakasa na–
Mtakatifu Yakobo- Utuombee kuwaweka watakatifu -Twakuomba utusikie
Mtakatifu Leonard- Utuombee
Mtakatifu Rosalina -Utuombee Yesu Mwana wa Mungu uliye hai- Twakuomba
Mtakatifu Salome –Utuombee utusikie
Mtakatifu Vincent - Utuombee
Mtakatifu Elizabeti -Utuombee Kristu utusikie Kristu utusikie
Mtakatifu Cecilia –Utuombee Kristu utusikilize Kristu utusikilize
Mtakatifu Felix - Utuombee **********************************
Mtakatifu Katarina wa Siena --Utuombee I. DRESSING VESTMENTS
Mtakatifu Clementi –Utuombee
Mtakatifu Yosefu- Utuombee Nasikia Sauti ya Bwana Unaniita
Mtakatifu Denis - Utuombee
Mtakatifu Lucia - Utuombee Nasikia Bwana unaniita x 2
Watakatifu mashahidi wa Uganda- Nichague mimi, nitakase Bwana,
Mtuombee nichague mimi, niwe wako, niwachunge
Mtakatifu Bakhita wa Sudan kondoo wako x 2
Utuombee Mashairi:
Mtakatifu Yohane Paulo wa pili-Utuombee
1. Roho inataka, kuitikia, mwili ni dhaifu,
Mtakatifu Thomas wa Akwino - Utuombee
ninasongwa Bwana nipe nguvu kuitikia, siku
Mwenye heri Anuarita wa Zaire –Utuombee zote mimi, nikupende
Mtakatifu Paulo - Utuombee
Watakatifu wote wa Mungu - 2. Kundi lako Bwana linavutia, Bwana nipe
Mtuombee fimbo nilichunge. Shetani mwovu ananyatia,
Utuhurumie -Utuokoe Bwana Bwana nipe nguvu nimshinde.
Katika uovu wowote - Utuokoe Bwana
Katika dhambi yoyote - Utuokoe Bwana 3. Mbwa mwitu nao wananyatia, Bwana
Katika mauti ya Milele - Utuokoe Bwana nipe nguvu niwashinde. Niwe mchungaji na
Kwa kujifanya mwanadamu - Utuokoe Bwana kubakia, mwaminifu kwako siku zote.
Kwa kufa na kufufuka kwako - Utuokoe Bwana
Kwa kumtuma Roho Mtakatifu- Utuokoe Bwana 4. Baba pia mwana niwatukuze, Roho
Mtakatifu atukuzwe. Roho wako Bwana
Sisi wakosefu Twakuomba utusikie aniongoze, daima milele niwe wako
**********************************
Upende kulisimamia na kulilinda–
Bwana amenituma mimi by S. Mpepo
Kanisa lako takatifu- Twakuomba utusikie
Upende kumlinda Baba Mtakatifu–
Bwana amenituma kuwahubiri mataifa, I may give Him the best of my clothes
Bwana amenituma mimi x2 Bwana (He may not take it)
amenitia Mafuta kuhubiri habari njema I may give Him the best of my shoes
x2 (He may not take it)

1.Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana A loving heart (He will love)
amenipaka mafuta, kuwahubiri maskini, A precious heart (He will love)
habari njema. A humble heart (He will love)
A caring heart he will love2
2.Amenituma kutangaza kufunguliwa kwao
wafungwa, nao vipofu kupata kuona tena. I may give Him the gift of a ram –
I may give Him the gift of a cow –
3.Kuponywa waliovunjika moyo, kuwafariji
wote waliao, kuwapatia maua badala ya jivu. I may give Him the gift of a house –
********************************** I may give Him the gift of a car –
Ndipo niliposema **********************************
Amkeni wote Tupeleke
Ndipo niliposema, tazama nimekuja
Bwana nimekuja, tazama nimekuja Amkeni wote tupeleke kwake bwana,
kuyafanya mapenzi yako x 2 Amkeni wote tupeleke zawadi Kwa
Bwana.
1. Nalimngoja Bwana kwa saburi,
akaniinamia akakisikia kilio changu, akatia 1.sasa ni wakati wakutoa zawadi chochote
wimbo mpya kinywani mwangu ndiye sifa ulicho nacho kakitoe Kwa bwana
zake Mungu wetu.
2. Mungu Baba mwenyezi yeye ametulinda
2. Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo, chochote ulicho nacho kakitoe Kwa bwana
masikio yangu umeyazibua, kafara na
sadaka za dhambi hukuzitaka, ndipo 3. Baba mama simama, simama Kwa furaha
niliposema tazama nimekuja. chochote ulicho nacho kakitoe Kwa bwana.

3. Katika gombo la chuo nimeandikiwa, 4. Ndungu yangu fikiri niwagonjwa wangapi


kuyafanya mapenzi yako, mapenzi yako, ee waliobaki nyumbani Kwa matatizo ya afya
Mungu wangu ndiyo furaha furaha yangu, **********************************
naam sheria yako imo moyoni mwangu. Leteni ndama
Leteni ndama walionona madhabahuni
4. Nimehubiri habari za haki katika kwa Bwana tena toeni bila kinyongo
kusanyiko kusanyiko kubwa, sikuizuia moyoni ndipo mtabarikiwa naye x 2
midomo yangu, ee Bwana, ee Bwana, ee
Bwana unajua. Leteni ndama aliyeshiba majani ya kondeni,
********************************** mkamtolee Mungu Baba yenu kwa shukrani.
J. OFFERTORY
What shall I offer Peleka sadaka yako iliyo safi na ya
kupendeza, ndipo utakapokitikisa kiti cha
What shall I offer to the Lord to make Him mwenyezi.
happy (oh tell me)
What shall I offer to the Lord to please Kumbuka yule mjane aliyetoa senti moja,
alibarikiwa na kuongezewa na mwenyezi.
Him*2
Sadaka iliyo safi ni ile inayokugusa wewe, Tunakuja na vipaji vyetu mbele zako ee
hiyo ndiyo sadaka iliyo safi sana. Bwana, tunatoa shukrani zetu kwako Baba
Muumba
Isaka alitolewa na baba yake kama sadaka,
hivyo Abrahamu alizidishiwa uzao wake (Tunaleta) mavuno Bwana Mungu pokea
************************************ tunaleta na fedha, Bwana Mungu pokea,
Mkate na divai twakuomba upokee*2
K. OFFERTORY PROCESSION
Ni matunda ya mashamba yetu uliyotujalia,
Yamba Yamba ndilo jasho letu sisi Bwana, twakuomba
pokea
Yamba yamba yamba
Yamba yamba yamba Watumishi wako tunakuja na zawadi kidogo,
Yamba yamba yamba Yahweh, yamba twakusihi Mungu Baba, pokea mikononi
yamba yamba. DC
Nafsi zetu zote mali yako utupokee sisi Ee
Tenor: Yamba yamba Yahweh ee Bwana utujalie afya uzima na Baraka
All: yamba yamba yamba Yahweh ee, **********************************
Yahweh e, yamba, yamba Yahweh ee. DC Ngai Niariturathimaga
Yamba yamba yamba mapa na beto,
Yahweh e yamba yamba Yahweh ee *2 Ngai nîarîtûrathimaga, rathime mawira
maitu (mawîra maitû)
Yamba yamba yamba vinu na beto, Yahweh Arathime mîgûnda itû twamûtegera na
e yamba yamba Yahweh ee *2 wendo (Ngai witû) x2
Yamba yamba yamba kissie na beto, Niegûtûhe kîrîa gîothe twamûhoya -
Yahweh e yamba yamba Yahweh ee twamûtegera na wendo
********************************** Niegûtûhe bûthi wa irio na mahiû -
Asa Osa twamûtegera na wendo
Mawîra maitû namo mone umithio -
{Asa osa nthembo yaitu, twamûtegera na wendo
We Asa osa na uituathima} *2
Mirimû itû yothe niegûtûhonia -
Mukate wumite nganuni ya nthi twamûtegera na wendo
We Asa osa na uituathima *2 Atwehererie mogwati mawîra-inî -
twamûtegera na wendo
Ndivai yumite nzavivuni ya nthi. . . *2 Mabiacara maitû magîthereme -
twamûtegera na wendo
Na mbesa syumite mivukoni yaitu . . . *2
Kîrîa twahanda agatûma tûgethe -
Na ngetha yumite miundani yaitu . . . *2 twamûtegera na wendo
Thuthi, mbûca, memenyi atwehererie -
Malondu maumite ndithyani yitu . . . *2 twamûtegera na wendo
Ng’aragu gwitû igûtwika rûgano -
Na ng’ombe syumite ndithyani yaitu…*2 twamûtegera na wendo
********************************** **********************************
Tunakuja na vipaji vyetu L. INCENSE
Mungu wetu twakusihi N. AGNUS DEI

Mungu wetu twakusihi upokee sadaka Agnus Dei (Latin)


yetu, ya mkate nayo divai, fedha na
mavuno ya mashamba, (mikononi mwake Bass: Agnus dei Agnus dei, Qui tollis
Padre, akifukiza ubani, twaomba peccata-mundi Miserere nobis
ikupende---ze) × 2 All: Agnus dei Agnus dei, Qui tollis
peccata-mundi Miserere nobis
1. Pokea Sadaka yetu, tunayotoa kwa moyo, Bass: Agnus dei Agnus dei, Qui tollis
pia kwa unyenyekevu na upe--ndo. peccata-mundi Miserere nobis
All: Agnus dei Agnus dei, Qui tollis
2. Sadaka yetu ya leo, twakuomba ifanane peccata-mundi Miserere nobis
na ile sadaka ya Melkisedeki.
Bass: Agnus dei Agnus dei, Qui tollis
3. Sala na maombi yetu tunayotoa kwa peccata-mundi Dona nobis pacem
moyo, yasikilize Muumba twakusihi. All: Agnus dei Agnus dei, Qui tollis
peccata-mundi Dona nobis pacem
4. Moshi huu wa ubani, ukuelekee wewe **********************************
kwako, uwe na harufu nzuri. O. COMMUNION
**********************************
Sala yangu ipae Hiki Ni Chakula

Sala yangu na ipae mbele yako (na ipae) Hiki ni Chakula kutoka Mbinguni asema
kama moshi wa ubani*2 Bwana x2 (alaye chakula hiki ataishi
milele x2 na milele, na milele, asema
Ee Bwana upokee sadaka yetu, tunayokutolea Bwana) x2
kama shukrani zetu, Ee Bwana pokea.
Tuijongee meza ya Bwana, tukale chakula
Ee Bwana upokee dhabihu zetu, cha kiroho.
tunayokutolea kutoka mashambani, Ee
Bwana pokea. Bwana Yesu anatualika, tukampokee
Mwokozi wetu.
Ee Bwana upokee pia nia zetu, tunazokutolea
kwa moyo wetu wote, Ee Bwana pokea. Ni Yesu mwenyewe kwenye maumbo,
********************************** maumbo ya Mkate na divai.
M. SANTUS **********************************
Mtakatifu (Subukia) Mwili wa Bwana Yesu

Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mungu wa Mwili wa Bwana Yesu, chakula cha mbingu
majeshi Ni chakula cha roho, chenye uzima
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu Hima uwe nasi ee Bwana Yesu
wako. Ukatushibishe chakula bora
(Ni chakula cha roho, chenye uzima)X2
Hosanna hosanna hosanna hosanna juu
mbinguni Yesu alituambia, Yeye ni chakula
Ni chakula cha roho, chenye uzima
Mbarikiwa anayekuja anayekuja kwa Jina la
Bwana Anilaye mimi na kunywa damu
**********************************
Anao uzima wa siku zote Pendo Mmmh pendo Mmmh pendo
(Ni chakula cha roho, chenye uzima)X2 pendo langu (II)
Pendo langu, nakupa pendo langu (I) x 2
Yesu alituambia, kuwa tumpokee
Ni chakula cha roho, chenye uzima 2. Pendo langu ninakupa kwa sababu
wewe Bwana Mungu unanipenda x 2
Sote twaamini, ni mwili wake
Pia twaamini ni damu yake 3. Pendo langu ninakupa kwa sababu
(Ni chakula cha roho, chenye uzima)X2 wewe Bwana Mungu Mwokozi
wangu x 2
Hii ndiyo karamu, aliyotuachia
Ni chakula cha roho, chenye uzima 4. Pendo langu ninakupa kwa sababu
wewe Bwana Mungu unanilinda x 2
Ee Bwana Mwokozi tunakuomba ************************************
Kwa chakula hiki tuimarike Kaa nasi
(Ni chakula cha roho, chenye uzima)X2
********************************** Kaa nasi (Bwana) katika neno lako, kaa
Anayekula Mwili nasi (Bwana) waamini wako x2
Kaa nasi, katika makasisi wako, na
Anayekula mwili wako, na anywaye damu katika sacramenti zako,na
yako Anaishi ndani yako, 'ye hatakufa katika Ekaristi yako x2
Milele Kaa nasi (Bwana) katika neno lako, kaa
nasi (Bwana) waamini wako
Yesu wangu nakuomba, nishibishe na
1. Katika magonjwa yote wewe ni
mwilio
kitulizo chetu, na katika njaa, wewe
Nayo damu yako ninywe, japo sistahili
mimi ndiwe shibe

Ndani yangu Mwokozi yumo kwa mwili na Tukiwa na kiu kifungoni hata utupu,
damu yake Ni rafiki yangu kweli nami shukrani, furaha uwe kiongozi.
sitamwacha kamwe ************************************
THANKSGIVING
Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini
Kwa kifo chake msalabani, naye katupa Shukrani Yangu By Nyagszi
uzima
1. a) Natazama Maisha yangu mimi ya
Yesu wangu unibariki, nifundishe njia zako kuajabia, kwa baraka ninazozipata toka
Nipe moyo wa shukrani, nitembee nawe leo kwako Mungu,
************************************ b) Ninashindwa hata kueleza penzi lako
Pendo Langu Bwana, Ni neema za Ajabu kwangu toka
Kwako Mungu,
1. Pendo langu ninakupa kwa sababu
wewe Bwana Mungu uliniumba x 2 Chorus
Ninakutolea shukrani zangu ewe
Pendo, pendo langu pendo, pendo langu Mungu wangu, kwa zawadi ya
pendo, pendo langu (IV) Maisha mema uliyonipa,
Pendo pendo pendo pendo pendo pendo sina kitu cha kukulipa wewe, kwa
langu (III) tunu hii Bwana, ninakutolea
Mungu wangu Shukrani zangu. X
2
Mlango wa Mbingu, sanduku la agano,
2. a) Siku Wiki miezi hata miaka, 'menilinda Malkia wa amani, Malkia mwenye huruma,
Bwana, wala sikukulipa Chochote kustahili mama mpendelevu mama tuombee
haya,
b) Ukanipa pia Afya Njema, na Maisha Nyota ya asubuhi, ni mnara wa pembe,
Bora, kwani pendo lako ewe Bwana halina kimbilio la wakosefu mama tuombee, mama
mipaka (k) yetu Maria kiongozi wetu.

3. a) Ukalinda hata Jamaa Yangu, na Twakushukuru mama, kwa maombezi yako,


kuwaongoza kutokana na maovu yote na kwa neem azote unazo tuombea mama,
yaliyotukumba, Malkia wa amani mama tuombee.
b) Umekuwa Mwamba wenye nguvu na pia ************************************
imara, nakutegemea we'daima Bwana
Muumba wangu. (k)
************************************
Kilindi cha moyo wangu

Ashukuriwe mwenyezi
… kilindi cha moyo wangu, kimejaa
maneno ya kushukuru
Ashukuriwe mwenyezi, anayeketi katika
patakatifu

Usiku mchana mwanzo wa mwaka mpaka


mwisho wake, ni mungu aketiye juu
anayenilinda
Midomo yangu itaimba maneno ya
kushukuru, asante nakushukuru bwana
wa mbingu

1. Anayewalisha ndege wa angani, ndiye


anaye shusha neema, anashusha kwa viumbe
vyote

2. Jua na mwezi nazo nyota za angani, ndiye


aliye ziratibisha, akanipa zawadi ya maisha
************************************
EXIT

Nyota ya Matumaini

Mama yetu Maria, ni mama wa neema, tena


ni kimbilio la watu wote wakosefu, ni
msaada wa kweli mama tuombee.

Ni nyota, ni nyota, mama yetu Maria ni


nyota ya matumaini*2

You might also like