Mwanzo:: I Will Sing To The LORD All My Life I Will Sing Praise To My God As Long As I Live Psalm 104:33

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 4

[Type the document title]

I will sing to the LORD all my life; I will sing Ya utukufu wako mkuu ewe Bwana.
praise to my God as long as I live Psalm 2. Ee Bwana Mungu mfalme wa mbinguni,
Mfalme wa mbinguni Mungu Baba mwenyezi,
104:33 mwana wapekee ee Bwana Mungu,
Mwanakondoo wa Mungu mwana wake Baba
MWANZO: 3. Mwenye kuondoa dhambi,dhambi za dunia,
NJOONI LEO TUMWABUDU BWANA[G-112 4/4] Utuhurumie ombi letu pokea,
Njooni leo tumwabudu Bwana Mwenye kuketi kuume kwa Mungu Baba,
Tufurahi katika Bwanax2 Utuhurumie wa dhambi utuhurumie
1. Wababa- njooni 4. Wewe ndiye uliye peke yako,
Wamama- njooni tumwabudu Bwana Peke yako mkuu Yesu Kristu,
2. Watoto – Pamoja naye roho mtakatifu,
Vijana – Katika utukufu wako Mungu Baba amina
3. Mapadri – HOLY SPIRIT MASS LORD HAVE MERCY [G-70 4/4]
Watawa – Lor—d have mercy (have mercyA)Lor—d have mercy, Lor—d
4. Waluhya- have mercy, have —cy-X2 Jesus Christ ha-ve mer-cy, [Jesu-s
Wakuria- Christ, Jesus Christ(LordA), Jesus Christ ha-ve mer—cy]X2
5. Maasai- Lor—d have mercy (have mercyA)Lor—d : mercy, Lor—d
Wadigo- have mercy, ha-ve mer—cy-X2
NIMEINGIA – SIAYA[G-112 4/4] T-Lor—d have mercy-, have mercy Lord, ha-ve mercy, Lord have
1. Nimeingia kukushukuru Baba- kwa mercy, have —mercyX2 (S/A Jesus Christ ha-ve mer cy). [Lord,
shangwe kubwa na vigele-gele x2 Jesu-s Christ Lor-d, Je-sus Christ, Jesu-s Christ ha-ve mer cy |
Nimeingia (kwako) patakatifu (leo) X2 Lor—d have mercy-, have mercy Lord , ha-ve mercy, Lord
have mercy, ha—ve mer—cy-X2
unitakase Baba nakuomba x2
B-.............Lor—d have mercy, Lord have mercy, have mer—
2. Nimeingia ili nikuabudu…..x2 cy-X2 (Jesus Christ have mer—cy), Lord [Jesu-s Christ, Jesus
3. Nimeingia kukuimbia wewe…..x2 Christ, Jesu-s Christ ha-ve mercyX2.................Lor—d have
4. Nimeingia ili nikuchezee….x2 mercy, Lord have mercy, have mer-cy X2
GLORY TO GOD [G-l 12-2/4]
5. Nimeingia kukutukuza Mungu…..x2
CHORUS: Glory to GodT.Glory to God, Glory to GodT Glory to
6. Nimeingia kukuinua Baba…..x2
God in the highest. [And peace to men (to menT) o—f good will,
TUINGIE NYUMBANI [G-112 4/4] and peace to— men (to menT) o—f good will x2],
1. Tuingie nyumbani-tuingie l. We worship you- we give yo-u thanks, we praise you Lord for
Nyumba ya sala sote tuingie-tuingie tupate your glory.
Baraka x2 2. God almighty— our fa-ther-, heavenly king w-e bless you.
Mimi [nitamwimbia Mungu wangu muda wote, 3. We adore you— we glorify you, we give you thanks for your
glory.
nitamsifu popote niendapo x2]
4. Lord Jesus Christ- only son of God, oh lamb of God. God the
2. Ndiye Mungu mkuu – father.
Mwenye uwezo sote tuingie- 5. You take away— sins of the world have mercy on us Lord Jesus
3. Yeye mwenye upendo- Christ.
Mwenye hekima sote tuingie- 6. You are seated- at the right hand; of the father receive our prayers.
4. Twendeni tushiriki- 7. You are holy- you alone are God, You are most high—Je-su-s
Christ.
Twende kwa Bwana sote tuingie- 8. Lord Jesus Christ- with the spirit, in the Glory of God Amen
BWANA UTUHURUMIE (Gm-3/4-110) Bible Progression: SOMA BIBILIA(Gm-3/4-110)
Bwana utuhurumie (ee BwanaS) Bwana utuhurumie. X2 Soma Bibilia kitabu kitakatifu(wenzangu B)
(Ewe Bwana X3 Utuhurumie) X2 soma uondoe ujinga wa kiroho. X2
Kristu utuhurumie (ee KristuS) Kristu utuhurumie. X2 1. Bibilia hii ni ngao yetu- soma uondoe ujinga wa
(Ewe Kristu X3 Utuhurumie) X2
kiroho.
Bwana utuhurumie (ee BwanaS) Bwana utuhurumie. X2
2. Bibilia hii ni kinga yetu- soma uondoe ujinga wa
(Ewe Bwana X3 Utuhurumie) X2
kiroho.
UTUKUFU(Fm-3/4-110)
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni (na amaniB) na 3. Bibilia hii ni takatifu – sosma uondoe ujinga wa
amani iwe kwa watu wote wenye mapenzi mema x2 kiroho
1. Tunakusifu Baba tunakuheshimu, 4. Bibilia hii ni neno njema-soma uondoe ujinga
Tunakuabudu ee tunakutukuza, wa kiroho.
Tunakushukuru Mungu kwa ajili,
… and "If they kept quiet, the stones along the road would burst into cheers!" Luke 19:40
SAINT AGAPITUS SHISESO CHOIR-KAKAMEGA DIOCESE Page 1
[Type the document title]

NENO LA MUNGU- Key A 2. Ukitaka kumfuata mungu achana na ya


1. Neno la Mungu linakuja tulipokee-kwa dunia-mpeni yaliyo ya kaisari na Mungu
furaha shangwe na vigelegele yaliyo yake x2.
Hili ni neno lenye tuletea wokovu- 3. Huku kidogo na huku kidogo Mungu
Tucheze ngoma zetu ngoma za kiasili- atapokea-mpeni yaliyo ya kaisari na
Wajaluo–yawa wagombo winjo wach Mungu yaliyo yake x2.
mangima NITOE SADAKA GANI MIMI(D-6/8-110)
Wakisii-bonsi bariga neti ring’ana rigia Nitoe sadaka gani mimi, ili ikupendeze Muumba
Na waluhya –bosi kukhumlai kuvalilai wangu, kwa huruma yako Mungu wangu pokea
Agikuyu-othe mutereire kiugo kiega sadaka ya unyonge wangu.
Neno la mungu linapenya pande zote,pande zote (Ingawa ni kidogo Bwana uipokee ibariki na
neno la Mungu laingia ndani ndani X2 uitakase. ) x2
2. Akina mama wote nyanyukeni kwa shangwe- 1.Twaleta mkate na divai-twaomba Bwana uipokee.
Akina baba wote nyanyukeni kwa shangwe- 2. Na mazao ya mashambani-twaomba Bwana
Hili ni neno njema kutoka juu mbinguni- uyapokee.
3. Watawa wetu wote nyanyukeni kwa shangwe- 3. Pokea na fedha twaleta, vyote ni mali yako pokea.
Hili ni neno lenye tuletea upendo- 4.Ee Bwana Mungu twakuomba, pokea nyoyo zetu.
Tusikilize neno tena tulipokee- TAZAMA BWANA TUNAKUJA(B-3/8-110)
BWANA YESU ALITAMKA- Key G Tazama Bwana tunakuja kwako (leo A) twaleta
1.Bwana Yesu alitamka, mimi ndimi njia ya kweli, sadaka zetu mbele yako tunakuomba mungu Baba
mtu haji kwa Baba yangu, ila kwa njia yangu mimi pokea X2.
Hebu jiulize (jiulize) njia gani uifuatayo X2 1.a)Kwa nguvu zako uliweza kustawisha
Nawe waelekea wapi na wafuta njia ya kweli X2 mazao bora na sasa twakutolea.
2. Ngamia ni rahisi sana, kuingia tundu la sindano, b)Mashamba uliyarutubisha kwa mvua nzuri
Kuliko mtu mwenye dhambi kuingia mbinguni kwa
mazao kwa wingi yakasitawi.
Baba.
2. a)Bahari mito na maziwa Bwana ukajaza
3.Njia nyembamba yenye tabu, ndiyo iendayo mbinguni
Na ile pana ya anasa, yaelekea Jehanamu. samaki we-ngi wa kupendeza.
4.Bwana Yesu alitamka, mimi alfa na Omega b)Angani ndege wengi wanarukaruka
Mtu haji kwa Baba yangu, ila kwa njia yangu mimi. kushangilia neema yako Ee Bwana.
ALELUYA 3.a)Wanyama wa porini wanarukaruka
MISA CENTINERY (F-3/4-110) kushangilia neema yako Ee Bwana.
(Aleluya×2 ale-luya a-ah);×2 b)Wadudu nao wanachezacheza kuonyesha
furaha kubwa waliyonayo.
aleluya aleluya a-ah ×2
KUSINDIKIZA
aleluya aleluiya ale-luyaah
NIMEKUJA KWA SHANGWE- Key G
SADAKA 1. Nimekuja kwa shangwe kwako eeh bwana -
NINAJONGEA nimekuja kwa furaha tele Nilicho nacho
Ninajongea, mbele zako ee Bwana, (Mungu mikononi naleta -ninaleta mbele zako eh
MwenyeziB) kukutolea Bwana sadaka X2 Bwana
1. Nitakupa nini Bwana kwa ukarimu wako, Chorus; SNinabeba fedha zangu
ulionitendea ninashukuru. nachezacheza ,Smkate pia na divai ni mali yako
2. Nitakupa nini Bwana kwani yote ni yako, S
na mazao ya mashamba naleta kwako Snipokee
uliyonijalia ninarudisha na baraka eeh Mungu wangu
3. Acheni kusingizia kwamba hali ni ngumu, 2. Sehemu ya pato niliyojaliwa – nimebeba
nendeni mkatoe kwake Bwana. naenda kwa Baba, Najua yeye ni mu-umba
4. Msidhani mkishapata ni kwa uwezo wenu, wa vyote – ninarudisha vyote ni vyake
bali ni Mungu wenu anawapa. 3. Uhai wangu mwili na moyo wangu – ni vyake
MPENI KAISARI YALIYO YAKE Mungu Baba milele, Ninaleta vyote vya
kukushukuru – bila dukuduku ninakuja
Mpeni kaisari yaliyo yake(Mungu) mpeni yaliyo
4. Kwa vigelegele na nyimbo nzuri – polepole
ya kaisari na Mungu yaliyo yake x2 naenda kwa Baba, Nachezacheza
1. Hamwezi kumtumikia Mungu pamoja na narukaruka kwa shangwe – nipeleke pato
mali-mpeni yaliyo ya kaisari na Mungu langu la wiki
yaliyo yake x2.
… and "If they kept quiet, the stones along the road would burst into cheers!" Luke 19:40
SAINT AGAPITUS SHISESO CHOIR-KAKAMEGA DIOCESE Page 2
[Type the document title]

5. Wimbo wangu naleta kwako ee Bwana – 1.Tazama Yesu wangu ninajongea karamu yako,
ninaleta kwa furaha tele, Upendo wangu pia pengine kwako Bwana sikustahili kuijongea-
naleta kwako – ninaleta kwa furaha tele unihurumie Ee Yesu wangu unisamehe
CHETEZO 2.Hakika kwako Bwana makosa mengi nimeyatenda,
Ubinadamu wangu siwezi kuficha kwako Bwana-
EE BWANA TWAKUOMBA UPOKEE VIPAJI
unihurumie Ee Yesu wangu unisamehe
VYETU
3.Niwazi Yesu wangu unaujua udhaifu wangu, sina
HOLY HOLY [G-112, 2/4]
cha kujitolea mbele yako ee Yesu- unihurumie Ee
Tenor: Holy holy. All: Holy holy- (holy) holy holy-
Yesu wangu unisamehe.
holy- Lord of hosts. T&B: Holy holy. All: Holy holy-
(holy) holy holy- holy- Lord of hosts. [Sop: Heaven
BWANA YESU NAKUITA- Key F
and earth. All: Heaven and earth, heaven (T&A BWANA Yesu nakuita karibu moyoni mwana
heaven) and earth are full of your glory] x2. wewe ni rafiki yangu tabibu wa moyo wangu X2
CHORUS: (Ho-ossana) hosanna in the highest, (ho- 1. Mimi nina njaa Bwana-nishibishe kwa mwili
osanna) hosanna in the high-est x2. wako.
[Sop: Blessed is he. All: blessed is he, blessed Mimi nina kiu Bwana—nitulize kwa damu
(blessed) is he yako
Who comes in the Lord's Name] x2. 2. Nijalie kutamani-
(Ho-ossana) hosanna in the highest, (ho-osanna) Nimkimbie shetani-
hosanna in the highest] x2 3. Nijue maovu yangu-
FUMBO LA IMANI- Key G Nitubu nije mezani-
Kristu  yafwa Kristu : yabukha mbafu, ANGALIENI WENYEWE
1. Angalieni wenyewe tazameni pendo la
Kristu alikalukha khandi.
BABA YETU reciting Bwana(kweli) .Amejitoa mwenyewe awe
NIPE AMANI chakula. Anatuita twendeni tule mwili na
1. Bass: Hakuna kitu kizuri kama amani tunywe damu (kweli) ni chakula cha
Wote: Ndugu kuishi pamoja na amani , mbinguni chenye uzima.
Amani ndiyo mguzo imara wakristu. Twendeni mezani pake twendeni atualika,twendeni
Sup: Nipe-Hiyo amani tule chakula kutoka mbinguni-Twendeni….
Nipe-Amani yako 2. Ni pendo kuu zaidi ni upendo wa kipekee (kweli)
Nipe-Amani X2 mtu kutoa mwiliwe kwa ndugu zake usisite ndugu
2. Upendo. twende tule mwili na tunywe damu (kweli) ushiriki
3. Furaha. ule upendo wa Yesu
4. Hekima. 3.Tusipokula mwiliwe tena tusipokunywa
5. Faraja damu(kweli) hatutapata uzima ule wa mbingu; Yeye
MWANAKONDOO(Gm-3/4-110) ni chakula kweli yeye ndiye kinywaji kweli (kweli) ,
Mwana kondoo mwana wa Mungu utuhurumie ewe tule na tunywe tupate uzima ule wa bure.
mwana-uondoaye dhambi za dunia utuhurumie X2 4. Mwili wake ni chakula damu yake ndicho
(utuhurumie ewe mwana X3) X2 kinywaji(kweli) tule tushibe na tunywe tuburudike; Ni
Mwana kondoo mwana wa Mungu utujalie ewe chakulachenye nguvu ni chakula cha wasafiri (kweli)
mwana-uondoaye dhambi za dunia utujalie X2 ni kinywaji chetu sisi tuendao kwetu.
(utujalie ewe mwana X3) X2 5. Milele tutafurahi tutaishi na Bwana Yesu (kweli)
Utujalie aa mani tukishinda majaribu ya ulimwengu; Tunapata nguvu
KOMUNYO nyingi tunapokula mwili wake(kweli) tunashinda
NIRUHUSU EE YESU WANGU E. F.Kidaluso majaribu tukinywa damu.
Key Eb SHUKRANI
Niruhusu ee Yesu wangu, niijongee meza yako, EE MUNGU WANGU. Key G
unisamehe dhambi mwokozi uje rohoni mwangu 1. Ee Mungu wangu, nikupe nini kwa wema
uniokoe Njoo kaa ndani yangu, nami nikae ndani wako na baraka zako, uhai wangu, uzima
yako unisamehe dhambi mwokozi, uje rohoni wangu maisha yangu Mungu nashukuru.`
mwangu uniokoe. Niache mimi (niimbe) sifa za Mungu, niyatangaze,
Wewe Bwana wanijua [hata nafsini matendo yake) x2
mwangu] wewe ndiwe tabibu pekee, wa Sote tu- cheze tuzungukezunguke, kwa shangwe-
roho yangu tena ndiwe kimbilio langu x2 tumshangilie Bwana, piga ma – kofi ngoma na
kayamba, pamoja – tumshukuru Mungu wetu
… and "If they kept quiet, the stones along the road would burst into cheers!" Luke 19:40
SAINT AGAPITUS SHISESO CHOIR-KAKAMEGA DIOCESE Page 3
[Type the document title]

2. Upendo wako ulimtuma mwanao Ye-su wewe ndio mweza sitaiacha njia
atuokoe kwa mwili wake nimeshibishwa kwa ukiniongioza
damu yake nimeburudishwa. Imbeni aleluiya aleluiya imbeni, pigeni tarumbeta
3. Usiku wote ninapolala na asubuhi na makofi pigeni,,(shangwe kwa Bwana Yesu ndiye
ninapoamka mchana kucha nitembeapo hata mweza yote) x2
jioni Mungu anilinda. 2. Dunia I karibu wala siniache na mengi
4. Watoto wetu, kweli baraka wazazi wetu majaribu yako pande zote, siku zote adui ni
kweli ni baraka na familia, zetu furaha tasifu ndani na nje Bwana Yesu nivute karibu na
jina lako siku zote. wewe
ASANTE MUNGU - Key E major- 6/16-110 3. Nikusikie wewe nena nami Bwana, kelele za
1. Ehee nakumbuka kule nilikotoka; ahaa dunia ndizo nyingi, nena kunihimiza au
najiuliza mimi nisemeje kwako. kunionya, nena nikusikie mwenye
Ehee kigugumizi kinanikamata; ahaa kuniponya
najiuliza mimi najihoji tu. 4. Umewapa ahadi wa kufuatao kwenda uliko
Sina neno mimi sina jipya la kusema, wewe wewe uponao nami nimeahidi
umetenda wema mpaka unanishangaza. kukutumikia nipe neema Bwana ya
(Nashukuru Bwana) T asante asante Mungu kukuandamia
(tena sana) T asante, asante Mungu (sina 5. Hatua zako Bwana nami zikanyage wewe u
maneno) T asante asante Mungu. mwenye nguvu mimi ni mnyonge niongoze
2. Ehee ulinigusa tumboni mwa mama….. nivute nishike daima kisha mi niwasili
Ehee nikazaliwa tayari kwa kazi….. mbinguni salama.
3. Ehee ukanipa kuwainua watu…. NYOTA YA ASUBUHI [D-112, 2/4]
Ehee wakakuimbia na kukusifu …. Tazameni nyota ya asubuhi,inang’aa hakika
yapendeza. X2
4. Ehee dunia iliponishambulia….
Ehee ukasimama ukanitetea ….. Nyota hiyo ni mama Maria, njoni nyote tumshangilie
mama. X2
5. Ehee nitakuimbia na nyumba yangu…. 1. Yeye ndiye bikira amini,
Ehee tutakusifu siku za uhai yeye ndiye nyumba ya dhahabu.
Ama kweli iya unanishangaza wewe ni mwema,
2. Yeye ndiye mlango wa mbingu,
ama kweli iya unapenda watu wewe ni mwema,
Yeye ndiye chombo cha heshima.
ama kweli iya unawadhamini wewe ni mwema
3. Yeye nndiye mama mpendelevu
nashukuru iya nashukuru sana wewe ni mwema,
nakusifu iya nakusifu sana wewe ni mwema, siku yeye ndiye asiye na dhambi.
zote iya nitakuimbia wewe ni mwema (wewe ni 4. Yeye ndiye bikira wa enzi,
mwema) wewe ni mwema (siku zote ni mwema) Yeye ndiye mama wa huruma.
wewe ni mwema (na mpole) wewe ni mwema SHAUKU YANGU- Em-3/4-110
(ama kweli ni mwema) wewe ni mwema ni 1. Shauku yangu ni kuingia mbinguni kwa
kishindo, kwa kishindo.
mwema hiyaaa
MWISHO Na yote haya yawezekana, nikiyaishi
vema yale yampendezayo Mungu X2
EE MAMA YETU MARIA[C-78 2/4] 2. Nitalakiwa na kundi la Malaika, wakiimba
kwa furaha.
Ee Mama yetu Maria twaomba sana ee mama, Na yote haya………….
Usituache gizani kwa mwanao utuombee. X2 3. Nikiwa huko nitaongea na Mungu, kwa
1. Mama yetu Maria utusikilize, sisi wana wako nafasi ya kutosha.
tunaosumbuka, maisha yetu mama hayana Na yote haya………….
furaha tujaze neema tupate faraja. 4. Nitajilaza kifuani pake Mngu, kwa kudeka
kwa maringo.
2. Utuombee kwake, mwanao mpendwa, atutie Na yote haya………….
nguvu tushinde maovu. Dunia ina giza dunia ni 5. Kwani najua sitakutana na kifo, kwake Baba
ngumu, bila nguvu yake hatuwezi kitu. hakunA kifo.
3. Ewe mama Maria, twakuomba sana, kwa Na yote haya………….
mwanao Yesu fikisha maombi. Tuombee Maria, 6. Kwa wenye dhambi kamwe hawataingia,
watalia kwa uchungu.
tuombee Mama, ili wana wako wafike mbinguni Na yote haya…………
NIMEAHIDI YESU(Gm-3/4-110)
1. Nimeahidi Yesu kukutumikia Wewe u
Bwana wangu U rafiki pia sitaogopa vita
… and "If they kept quiet, the stones along the road would burst into cheers!" Luke 19:40
SAINT AGAPITUS SHISESO CHOIR-KAKAMEGA DIOCESE Page 4

You might also like