Papa Marcello II
Mandhari
Papa Marcello II (6 Mei 1501 – 1 Mei 1555) alikuwa Papa kuanzia tarehe 9/10 Aprili 1555 hadi kifo chake[1]. Alitokea Montefano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marcello Cervini.
Alimfuata Papa Julius III akafuatwa na Papa Paulo IV.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcello II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |