Papa Paulo IV
Mandhari
Papa Paulo IV (28 Juni 1476 – 18 Agosti 1559) alikuwa Papa kuanzia tarehe 23/26 Mei 1555 hadi kifo chake[1]. Alitokea Capriglia, Avellino, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gian Pietro Carafa. Alimsaidia Gaetano wa Thiene kuanzisha shirika la Wateatini.
Alimfuata Papa Marcello II akafuatwa na Papa Pius IV.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |